Recent content by KASDEN

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, Saving Foundation loans ni wakweli?!

    Jaman tujipange tuende officin kwao wakamatwe maana wamesha kula yangu 57,500/= na najua wapo wengine japo hawasemi. Ila mimi namba za uthibitisho wa kutuma kwenda kwa Halima James kama anavyo jii ta huyu mtu ninazo. Ebu mtusaidie tuwasiliane na Mh. Halima Mdee, wasimchafulie jina.
Back
Top Bottom