Soko limefungulia kulikua na watu 1600 had sasa watu tunafika 8500 vizimba vipo 300 sisi tuliokosa vizimba tulifata talatibu na tukapewa eneo tukapewa meza natukawa nasehem yakuhifadhia watu niweng nahatuwez wote kua kwenye vizimba sehem ipo ndogo
Hatujapewa balua aina yoyote zaid tu yakutolewa meza zetu naikiwa sisi tunalipa ushuru huu kalibu mwaka wanne nahatukukaa hivi hivi tulifata agizo la mkuu wawilaya mda huo 2019 akatushauli tuanzishe vyama wanyabiasha wadogo wadogo lakin toka tulivyo anzisha kikundi tulikua tunalipa ushuru...
Habari waungwana,
Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada.
Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.