Recent content by karatasimbovu

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

    Hii ni hakika kabisa kwa jua au kwa mvua
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushahidi kwamba Tume ya Uchaguzi ni sawa na kakaragosi cha CCM huu hapa

    Tarehe waliyotangaza ni ndani ya chama jamani....sio form za tume
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimeichukia sana CHADEMA ya Lissu

    Lisu amepata uenyekiti lwa matusi na uzushi kwa Mbowe...hatoboi katu. Dhambi hiyo itamuandama tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

    Naunga mkono kabisa,, ushindi wake hauna raha, ametukana sana wenzake ili ashinde, hana haya
  5. K

    JamiiForums Tanzania Fanya haya unapokuwa hatarini kutekwa?

    Tumekusoma
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

    Naunga mkono hoja...sio kila kitu ni cha kusema. Vingine tunakufa navyo. Tundu unadhani vyama Vingine havina changamoto? Unasikia wanaropoka hivyo? Wenzenu wanasutana ndani..mwanaume mpumbavu huvunja taasisi yake kwa mdomo wake mwenyewe
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu apinga tuzo aliyopewa Samia na kusema kuwa huo haukuwa uamuzi wa Chama bali maamuzi binafsi ya Mwenyekiti, ataka ahojiwe

    Mnaodhani lisu anaweza kuiangusha au kuiua CCM mna fikra ndogo sana...hamjui uchambuzi wa utendaji wa chama au serikali...poleni sana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapiga Kura 1200 Wote Wana Njaa ya kufa Mtu huyo Tundu Lissu anashindaje?

    Mnachanganyikiwa kutoka wapi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Hongera kwa kutoa hoja badala ya majibizano tasiyo na msingi humu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi

    Wanaziondoa rasmi ila mchakato wa kuziondoa kama bot ulianza zamani
  11. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kimkakati zilizoasisiwa na Mwalimu Nyerere

    Bakwataa
Back
Top Bottom