Recent content by kapuman

  1. K

    Natafuta Kazi Kama Security Officer/Security Guard

    Jambo wanajamvi. Mimi ni kijana wa kitanzania, Umri wangu naelekea Miaka 28, nna Elimu ya Uhasibu (Advanced Diploma), Elimu ya Ufundi na Matumizi ya Computer( Pc Maintenance) toka Veta, nna Uzoefu wa kuendesha magari 4wd, salon na ma bus kwa miaka 6 na leseni yenye madaraja A, A2, B, D na E...
Back
Top Bottom