Recent content by kapacity

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunajiungaje na Ualimu ngazi ya cheti?

    Eti mwisho ni 4 ya 38 nimetoka kuambiwa ivyo.ila anayejua vizur si mbaya akakujuza.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Njia za kujiendeleza kwa mwalimu wa ngazi ya cheti

    mkuu waweza kutumia cheti chako cha gatce iwapo kiko vizuri.angalau uwe na ufaulu usiochini ya credt 4.2 kidogo au uwe na dinstiction moja kwa moja. Apo utaomba kusoma diploma ukishamaliza diploma yako ukafaulu vizuri unaomba mkopo unaenda zako universty
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    anyegele mnomnonga a.k.a karibu sana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maombi ya vyuo vya ualimu grade 'a' 2014

    Gatce kuna kupewa hela ya kujkim!! Iyo kwakwel nam naomba nijuzwe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Balaza la Elimu kuhusu Ufaulu wa E na F

    nmewaza sana kaka, b'se E inaanzia 20-29 na F inaanzia 0-19.Xaxa itakuaje m2 mwenye 25 alinganishwe na m2 alyepata 6???.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

    kjana hesabu yako cio nzuri.Haiwezekan m2 apate credt 3 na D 4 alafu apate dvtion 4 ya 36! Jalbu kuexabu vzul! C3=12 D4=20 hapo uyu atakua 2 ya 32. hupo ee!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania credt 2,pass 2 pamoja na E 3

    kwa hal hii naweza kuaply uwalim kwenye vyuo vya selkar!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Balaza la Elimu kuhusu Ufaulu wa E na F

    Xio xili necta wana akili za panz yaan m2 mwenye 29 n xawa na M2 mwenye 0???hawana haya kwel NECTA.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gred E na gred F zote sawa!!!

    Kiukweli necta cjawaelewa kiukweli na nimeona hawana nia njema na watoto we2 walioko shule ze2 za kata.Kwakua naona wameshindwa kutambambua utofaut wa mtoto yule alyepata gred E na yule alyepata gred F, na kuamua wote kuwaweka wote katka kund moja!. Jaman m2 mwenye gred E ya 26 amelinganishwa na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Kwa nini wanafunzi wenye pointi sawa wamewekwa madaraja tofauti kwenye matokeo kidato cha

    wajinga ao necta yaan wamexema gred E na gred F zote fails,jaman m2 alyepat 28 na m2 alyepata 13 wamewekwa kund moja!!! binafsi cjapenda!
  11. K

    JamiiForums Tanzania division four 37

    uyo ackate tamaa maAANA anaweza kuaply kwenye ualm cose nmeambiwa kuwa mwisho n dvtion 4 ya 39
Back
Top Bottom