Search results

  1. kanyagio

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Naona hali si shwari maeneo ya Salendar. Foleni kubwa mno. It seems kuna tukio lisilo la kawaida.
  2. kanyagio

    Mashuka ya Hotel yanahitajika (Kwa bei ya jumla)

    Helllo na mimi nahitaji. Mwenye kuwa nayo email nat867@gmail.com
  3. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    More than Hyatt and New Africa
  4. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    You are hired come and start
  5. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    I gave u example. There is no standard on job advert. It all depends on organization policy. Our policy is to discuss salary matters as part of the interview
  6. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    That is not the purpose of the advert. If you want to know our Customers attraction plan, I can email you our strategic, business and marketing plans....
  7. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Je katika tangazo hili kuna mshahara? TANESCO yatangaza nafasi za kazi mbalimbali 574
  8. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    You will need reference who can comment on your behaviors and performance...
  9. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Si lazima kuweka kiwango cha mshahara kwenye Tangazo. Anayeomba na akaitwa kwenye usaili atajadiliana suala mshahara.
  10. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Sijawahi ona. Nipe mfano wa Tangazo lililotaja mshahara
  11. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Ahsante kwa maoni. Si kawaida kuweka mshahara kwenye Tangazo.
  12. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Carepoint Lodge, ni lodge mpya ya kisasa inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao: 1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer...
  13. kanyagio

    Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

    Njoo upate tuition
  14. kanyagio

    Napata wapi vyuma vya kutengeneza jukwaa kupiga wakati wa kupiga plasta?

    Nauliza vyuma vya kutengenezea jukwaa kuweka wakati wa kupiga plaster. Navipata wapi na Sh ngapi. Mfano kama huu chini:
  15. kanyagio

    Data collection opportunity Dar es salaam

    Nashukuru outputs zako. Nitarekebisha tangazo kuweka ujuzi na lugha.. Ni kweli ni consultancy firm. Kama nilivtosema awali, tulitamani kuwalipa zaidi ila bahati mbaya ndo hivyo tena. Mtu akitumia 5,000 kwa siku nauli na chakula then siku 20 ni laki moja. Si haba unaweza kubakiza kidogo kwenye...
  16. kanyagio

    Data collection opportunity Dar es salaam

    Pm your details, I will check
  17. kanyagio

    Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

    Binafsi naona hii ni fake news kutaka kuhari bujina la air Tanzania. Ni vema kupata uhakika toka kwa abiria au wafanyakazi. Je walio uwanja wa Mwanza wana iona imepaki ndege hii?
  18. kanyagio

    Data collection opportunity Dar es salaam

    Ndo maana tumesema kuwa hii kazi inawafaa zaidi wanaotaka ku-volunteer. We could have paid more, but unfortunately there is budget limit.
Back
Top Bottom