Recent content by kantomole

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shida ni kwamba mwanaume akikutana na mwanamke mwenye akili kumzidi hupenda kumwita much know kumbe wao ndio wajinga
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wezangu tupate wasaa wa kujadili hili jambo!

    Ofcz she is right inabd mseme wanaume mnataka nini kwa wanawake Mana kila mnachofanyiwa hamridhiki wanaume shida yenu mkiambiwa ukweli mnaishia kukimbilia kwenye maswala ya ufeminist tu
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kupekua simu ya mwenzi wako pale anapokuwa yupo au hayupo?

    Ni wanaume wachache sana wenye uelewa kama wako
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naota Marehemu ananitokea

    Tafuta wafasir was ndoto wakudaidie au jarbu kuwahusisha wavhungaji wako ili muweze kumfbyia ibada ya pamoja na kujua ni nin anahitaj kutoka kwako
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kulala na mtoto mdogo usiku mama yake akiwa kazini

    Very true
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kulala na mtoto mdogo usiku mama yake akiwa kazini

    Yn acha tu
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya mwanamke kusalitiwa: Hana wa kumtetea, jamii inaona ni haki yake

    Very true
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kulala na mtoto mdogo usiku mama yake akiwa kazini

    Unachotakiwa kujua ni kwamba mtoto akiwa mdgo huwa anapenda kukumbatia au kuwa karibu na mzazi Ili ajisikie yupo salama na hapo anaeza acha kulia ko wee unachotakiwa kufny ni kuhakikiasha unakuw nae karbu na ahisi uwepo wako na joto lako pia na mama ake kabla hajaondk ahakikishe mtoto ameshiba...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kulala na mtoto mdogo usiku mama yake akiwa kazini

    Ndo ivo unaeza ukajiona mjanja ukamwacha Alie kumbe mtoto anaumwa au kina kitu hakipo saw ndo mana analia mwishowe uje kumpoteza mtoto kisa uzembe na ujinga tu,[emoji35]
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kulala na mtoto mdogo usiku mama yake akiwa kazini

    Na unajisifia kabisa huoni hta aibu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu used aina ya Samsung A03 core

    130K ipo mkuu,kama inakulipa nichek tumalizie biashara O744567252
  12. K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu used aina ya Samsung A03 core

    130k unachukua?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

    Hapo kwny ubishan sas ndo hatr Mana wanaume wengi wafupi ni wabishi kupindukia
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakasirika balaa, wamekataa kumwambia mtoto ni jinsia gani

    Just relax mkuu kipnd Cha kujifungua kikikarbia anaeza akafny utrsound nyng ty na watakwmbia jinsia ya mtoto wala usihofu
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakasirika balaa, wamekataa kumwambia mtoto ni jinsia gani

    Nadhan hawajui au hajawai kukaa nao angekiw anawajua asingesema ivo
Back
Top Bottom