Recent content by kanselo

  1. K

    Dunia ya sasa Imejaa wanawake wema wambao sio waaminifu kwenye ndoa zao.....

    Ni safari ya kutoka Arusha kuelekea Dare s saalam.Nipo kwenye basi na abiria wa upande wangu wa kulia ni mwanamke mzuri wa sura na umbile na mwenye haiba ya upole.Huwa sina Tamaduni ya kuanza kumsalimia mwanamke katika maisha yangu.Kwa umri wa miaka 33 sijabahatika kuwa na mke wala mtoto...
Back
Top Bottom