Recent content by kankara bambara

  1. K

    CHADEMA kutumia electronic devices kwa monitor Chaguzi za kata nne Arusha

    TAfuta MALAFA wenzako uwadanganye, yaani mnapenda kuonekana mko juu kumbe ni uoga wa kupoteza viti vya udiwani. CHADEMA maze.zeta kweli!
  2. K

    CHADEMA: Ile cd/movie ya part one na two sokoni hazijauzika vizuri hebu leteni part three yake

    utoto, lazima wewe unamiliki kadi ya CHADEMA na hii inaonyesha wanachama wake jinsi walivyo.
  3. K

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    njoo watu wakuuwe kama muasi, ushauri wa bure waachie wanao pesa za kutosha
  4. K

    CHADEMA Wamechelewa Kuchukua Uamuzi wa Kujilinda; Lakini Wako Sahihi

    Litakuwa Mali ya CDM na vyama vin fine vitanza Kelele
  5. K

    Uchaguzi Arusha: Mgombea CHADEMA kata ya Kimandolu akamatwa na police saa Saba usiku

    Wewe ni mngese! Polisi wako makini, jamii ------- ndiyo itailaumu polisi kwa kazi inayotanya. CDM ni wapenda shari na waropokaji wakubwa, wachochezi na wauwaji. Waongo, wakabila na wadini.
  6. K

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    kama wewe unavyojitahidi kumfurahisha bwana wako MBOWE!
  7. K

    Taarifa kwa umma: CHADEMA yaitisha kikao cha dharura cha kamati kuu 6 - 7 Julai 2013.

    duh! maneno makali kwenye RED! Mimi nimefanya kazi Afghanstan, Sudan katika jimbo la Darfour na Somalia kidogo so najua vita na vurugu ni nini, wewe kalisha makalio huku ukiomba wapenda fujo waingie madarakani,UTAJUTA bro!
  8. K

    Kikwete atimiza asilimia 80 ya ahadi zake ndani ya miaka saba ya utawala wake

    hatuwezi kuwapa nchi wanywa viroba na wahuni wa mjini kwani wataanza na wao kujilimbikizia mali kama kawaida ya watanzania. Watu ambao wakisimama majukwaani hawasemi watatufanyia nini zaidi ya kuhamasisha mgawanyiko kwa watanzania hawafai. CDM wanatakiwa wawe na viongozi kama ZITO na MNYIKA...
  9. K

    Taarifa kwa umma: CHADEMA yaitisha kikao cha dharura cha kamati kuu 6 - 7 Julai 2013.

    hahahahaahhaaaaaaaaaaa huna jipya na unaelewa nimeongea ukweli na pia punguza viroba ili akili yako iwe na akili.
  10. K

    Majeshi yetu yajifunze Misri,Walichofanya Mtwara na wanachoendelea fanya hakikustahili

    Acha unanga,OBAMA anaenda na ulinzi ule hata UINGEREZA
  11. K

    Taarifa kwa umma: CHADEMA yaitisha kikao cha dharura cha kamati kuu 6 - 7 Julai 2013.

    ngoja nikwambie bro! MBOWE anatafuta uraisi kwa manufaa yake na wanawe kwa kuwatumia vijana wanaopenda maneno ya matumaini kwamba akiwa raisi atafanya maajabu kwa muda mfupi. Hiyo bro haipo, kila mtu atumie fursa zilizopo ili aendelee yeye na familia yake . Tufanye kazi na siasa iwe kama part...
  12. K

    Taarifa kwa umma: CHADEMA yaitisha kikao cha dharura cha kamati kuu 6 - 7 Julai 2013.

    kwa hiyo unataka watangaze mfanye fujo? Acha hizo wewe wakakae waandae uongo wa kuwaambia wananchi kwani hawana jipya kama wewe. fujo zenu zinatupunguzia watalii Arusha,tunashindwa kuingiza dola kwa sababu ya bangi na viroba vya CHADEMA. Hamfai hata kupewa madaraka ya kusimamia
  13. K

    Naipenda sana CHADEMA, Tatizo ni sera mbovu, vurugu na ugaidi

    sio lazima uchangie kwani na wewe ni CDM. Jamaa anaongea ukweli. ACHENI FUJO THEN TANGAZENI SERA ZENU.
  14. K

    Majeshi yetu yajifunze Misri,Walichofanya Mtwara na wanachoendelea fanya hakikustahili

    Tatizo la hawa jamaa humu ndani utafikiri wanalipwa na hivi vyama kwani ni kubisha tu! Hakuna atakayeleta mabadiliko ya maisha yako binafsi zaidi ya wewe mwenyewe. Wamisri ni wavivu sana hasa waarabu wote, wanataka kukaa tu huku wakisubiri maendeleo. Nani atakayeleta hayo maendeleo wakati wewe...
Back
Top Bottom