Recent content by Kanjwinjwi

  1. Kanjwinjwi

    Iran waja na kombora jipya linapiga kilometa 12000

    Wewe kama wewe are you 100% sure Iran hawana nuclear?
  2. Kanjwinjwi

    Iran waja na kombora jipya linapiga kilometa 12000

    Kawaambie wayahudi wa mchongo warushe ata kokoto tu iran😁😁
  3. Kanjwinjwi

    Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Hahahah kwahiyo??????....OK basi Israel bingwa ilirusha mabomu hahahahah.... nyie watu bhana hivi akili mnapelekaga wapi...🤔
  4. Kanjwinjwi

    Trump aisifia Iran asema iliipiga Israeli kwa nguvu sana.

    Kweli kabisa makombora na sophisticated drones ..maana kinachofanywa na ndege....hypersonic missiles na drones zinakifanya tena kwa ufanisi zaidi bila kurisk maisha ya rubani.
  5. Kanjwinjwi

    Trump aisifia Iran asema iliipiga Israeli kwa nguvu sana.

    Vita ingeendelea kwa wiki mbili zaidi Israel ingegeuka Gaza na wayahudi wote wangekimbia maana Iran ilikua imeshashika lami kivita...
  6. Kanjwinjwi

    Rais Putin anatema cheche muda huu

    Oreshnik new missile
  7. Kanjwinjwi

    Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

    Drones buku kumi yule kamanda alisema na missiles buku
  8. Kanjwinjwi

    Ni kweli wahamiaji wanakula paka na mbwa wa wenyeji Marekani?

    😄😄😄😄 Trump bhana
  9. Kanjwinjwi

    Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

    Kiduku mtu wa hovyo sana akishakula vitu vyake...eti majuzi katuma puto limejaa takataka na mavi South Korea 😁😁😁😁😁🤣
  10. Kanjwinjwi

    Urusi yapeleka vifaa vya kijeshi kufanya mazoezi Carribean pembezoni mwa mipaka ya Marekani

    Unabeza kupeleka meli wakati hizo ndio silaha za vita unataka awakabili vipi??? Kwa ngumi???? 😆😆
  11. Kanjwinjwi

    Vita ya NATO na URUSI itakuwa ni ya kubadilishana nuclear na sio vita ya risasi

    Watu huwa wanaropoka tu hawajui balaa la Nuclear wanafikiri ni sawa kutype tu kwenye keyboard
  12. Kanjwinjwi

    Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

    Ushamba ni nini????.......kwangu mimi ushamba ni kushobokea na kuiga vitu usivyovijua..
Back
Top Bottom