kwani hamjui magari ya polisi,serikali, na taasisi nyingine za serikali ndio zinatumika kwa kufanya uhalifu issue ya kusafirisha bangi ya moshi si lilikuwa gari la polisi?Na hizo ni issue za vigogo nani anabisha?
na hao wahalifu hawafanywi chochote si mtaona?
Kufuatia kupigwa risasi kwa mfanyakazi wa Tanzanite one William Onesmo Mushi na kufariki papo hapo serikali kupitia wizara ya nishati na madini imefunga migodi minne inayozunguka eneo hilo kwa muda usiojulikana ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia tukio hilo.
Kamishna Msaidizi wa madini kanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.