Recent content by Kanda pendwa

  1. K

    Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

    Ndugu ujenge fensi alafu yeye aje aiendeleze kweli... !? Maana ya wewe kuweka fensi ni nini kama inajengwa na kuwa nyumba..
  2. K

    Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

    Wakuu habari zenu, Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie...
Back
Top Bottom