Kuna kampuni inaitwa ABin Bev iliyoinunua sabmiller (TBL TANZANIA) nao wameondoa wafanyakazi wote vitengo finance and everything almost is operated from Mauritius. Hebu nayo jaribu kuiangalia kama sio wakwepa kodi kweli.
Wakati tunajadili maendeleo ya jimbo la kigamboni kuwa duni ikumbukwe kuwa serikali ya CCM chini ya Dr JK ilisimamisha maendeleo ya aina yoyote katika kipindi cha tamribani miaka 10 katika kata 4 za jimbo hili ambazo ndo kitovu na chachu ya muonekano wa kigamboni. Hivi kwa wakazi wenyeji...
Japo sijawahi kuchangia chochote ktk Uzi huu, ila umenifanya nichangie
Ulishawahi kufanya biashara yoyote ya kuwekesha na kusubiri bei ipande? Kama ndio, ulishawahi kupata hasara? Kama ndio "how" kama hapana, hongera mkuu!
Biashara kama hujawahi kupata hasara hiyo bado hujaijua!
Binafsi...
kwa nafasi ya uwaziri mkuu sawa inamfaa magufuli, kwa kuwa ni mtekelezaji mzuri sana wa kazi zote anazotumwa. Ukiondoa sifa ya kutunza kumbukumbu za urefu wa barabara, kuwafukuza watendaji, fuatilia ni jinsi gani anavyoweza kutatua migogoro au sintofahamu zozote zilizo ama chini ya wizara yake...
hivi naomba niliulize, tanzania kuna ubalozi kuna ubalozi wa vatican? na je vatican kuna ubalozi ( kiti ) cha tanzania? na kama vipo nani anahudumia? kama havipo, sababu ni nini?
Turejee historia hiyo. SAMAHANI KWA KUTOKA NJE YA MADA JAPO HILI SUALA ALISHAWAHI MTU KULIELEZEA HUMU HUMU JF...
tuachage ushabiki, nani anapenda mwanae asome hizi shule kutoka moyoni? niumaskini tu ndo unaotufanya hivi.
Kipindi cha nyuma shule za serikali zilikuwa zinatoa elimu bora na yenye kiwango. ila baada ya shule za kata, manjonjo ya kuiharibu elimu yakaanza. mara hesabu kuna matipo choisi, mara...
Ni suala la waislam kuwa wazi na kuanika kila kitu hadharani kuhusu muundo, kesi zitakazoamuliwa na uhusiano wake wa kimaamuzi na jamii nyingine zilizo nje ya imani yao. mpaka sasa bado najiuliza, endapo kwa akili yake na utashi wake mtu akaamua kubadili dini kutoka uislam kuwa dini nyingine...
13.2 MAPENDEKEZO YETU:
Kuna ulazima wa kuiwekea mahakama ya kadhi msingi wa Kikatiba ili uhalali wa kuwepo kwake na utendaji wake usihojiwe na mahakama nyingine ili kuepusha migongano na migororo huko mbeleni.
Ndugu, rudia hiki kipengele naupitie upya post yako.
13.2 MAPENDEKEZO YETU:
Kuna ulazima wa kuiwekea mahakama ya kadhi msingi wa Kikatiba ili uhalali wa kuwepo kwake na utendaji wake usihojiwe na mahakama nyingine ili kuepusha migongano na migororo huko mbeleni.
MAHAKAMA YA KADHI: MAONI YA TAASISI ZA KIISLAM KWA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
MAONI YA WAISLAM KUHUSU MUSWADA WA WRITTEN LAWS
(MISCELLANEOUS AMENDMENT)(NO. 2) ACT, 2014
UTANGULIZI:
Kama taasisi ya Kiislam tumepitia muswada wa Written Laws (Miscellaneous...
Kumbe na wewe umeona eeh!
Labda atuambie hyo kilungule ipi?
Km ji ya kimara ni cdm ndo imeshinda
jamani kama ni kilungule ya mbagara ni cuf wameshinda. kwa mbagara 75% ni cuf na mitaa ya kwa nyoka, kilungule, barabara ya mwinyi kote cuf wMeshinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.