Recent content by kamkunguru

  1. K

    CCM yaibuka kidedea.

    CCM SAFII! SIKU ZOTE MAJI HUFUATA MKONDO. ACHA HAO WENYE CHAMA DUNI MAISHA -cdm WALIE TU.
  2. K

    Kwa nini washabiki wengi wa Ccm ni wanywa viroba na wasio kuwa na kazi maalum?.

    Methodology? Ethical considerations? Utafiti wako ni biased ulielekeza kundi moja. Gawa quessionnaires zako vijiwe tofauti including ofisini, na sehemu kadha au mikutano kadhaa na sio wakati wa dance na vilabuni. Anza upya utafiti
  3. K

    Kwa nini washabiki wengi wa Ccm ni wanywa viroba na wasio kuwa na kazi maalum?.

    Huo sio utafiti bali ni ufitini kama kweli ulitafiti sample size ngapi na findings zako kwa asilimia? Usidanganye watu umefanya utafiti, sema ulitamani kujiunga nao ukakosa nafasi.
  4. K

    Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    Kama umechoka kutoa hoja kijana kalale ukue kisha tafuta maneno ya kuchangia. Ushabiki na siasa haviendi pamoja
Back
Top Bottom