Recent content by kami boe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunaomba halmashauri ya wilaya ya Buchosa ilipe hela ya kujikimu kwa watumishi wa ajira mpya 2026

    Halimashauri ya wilaya ya Buchosa haijalipa fedha ya kujikimu kwa watumishi wa umma toka mwezi wa tatu hadi sasa na tushafuatilia tukaambiwa mtapewa sasa hatuelewi tutapewa lini ingali ni miezi sita imepita.
Back
Top Bottom