Haya maisha noma, ngoja niwape mkasa ulionitokea leo kuna wana 2 wananidai 1 ananidai laki na nusu na mwingine laki na 75 hapa nimewazungusha karibia wiki sasa leo baada ya kuchachamaa nikawaambia leo ntawapa, natoa wap cjui, ikabidi niende hardware nikakopa mifuko ya cement kama 25 jumla hapo...
mm mechi ya Getafe nimeomba goli 1 na celta vigo pia goli moja afu ndo zimebaki hizo tu nile laki na 70 kwa buku 2 jero timu 30 ila kuna kila dalili mkeka kuchanika
asikwambie mtu mzee hiyo presha niliipata mwaka 2017 nilitia laki na nusu odds zilikuwa 17 ilibaki timu 1 ipate goli ili itimie 2+ hapo nipo flashscore nimeweka sauti mpaka mwisho kwenye pc ili goli likiingia Nisikie yale makelele ya gori mpaka dk ya 90 ngoma 1 - 0 nikasema bac tena nishaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.