Recent content by kamandamakini

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa halihitaji ruhusa ya mamlaka kusema ukweli

    Rev. Peter Simon Msigwa Makonda, Kanisa si Serikali, lakini Kanisa ni sehemu ya jamii. Watu wanaoketi kanisani Jumapili ndio wanaokutana na hali halisi ya maisha Jumatatu. Maumivu yao hayaishii mlangoni mwa kanisa, wala wajibu wa mchungaji hauishii mimbarini. Kanisa likiona dhuluma, lina...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya itikadi yana faida gani kama hoja zinajibiwa na polisi?

    Rev Peter Simon Msigwa Mara kwa mara tunasikia Chama Cha Mapinduzi kikitangaza kwamba kimeendesha mafunzo ya itikadi na uenezi. Viongozi na vijana wake hupelekwa kwenye semina mbalimbali, wengine hadi China, wakidaiwa kwenda kujifunza uongozi, siasa, itikadi na namna ya kuimarisha chama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

    Unaweza kuta anawachezea kiini macho wenzie kina lissu tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

    Ninacho mkubali lissu ana dictate matakwa yake kwa namna ambayo mbowe break hazikabi analazimika hata kama hataki
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

    mbowe kauwa saccos-CDM ambayo ni familia business sasa inaisababishia famila hasara kubwa mno royal family 😀
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

    Mwendelezo wa kukimaliza cdm, siioni chadema bila LISSU walio baki wote hawana hoja wala mvuto na kibali mbele ya wananchi huu ndio ukweli mchungu maskioni mwa chawa wa mbowe.
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

    Video itasaidia nini wakati chama kimesha kufa amekiuwa mbowe kwa mikono yake mwenyewe na ushamba kiasi 😀
  8. K

    JamiiForums Tanzania Amos Makala: Baada ya Peneza na Mchungaji Msigwa bado kuna wengine wengi wanakuja CCM kaeni mkao wa kuwapokea!

    Niaibu kwa cdm ku survive enzi za Mwenda zake na kina kufa sasa, aibu hii.
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    What ever your say, Ila kila kitu kina mwisho wake Dj ni failure, period
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    Disco joker chama kimemshinda alijisahau sana sasa imefika mwisho
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bulaya ampa za Uso Msigwa

    Wakumlaumu ni mbowe alie kuwa na nafasi kubwa yakuunda upunzani ulio na nguvu 2025 achukue viti vingi vya wabunge ili aongoze bunge yeye ameuwa cdm kwa Mikono yake mwenyewe, tangu alambe ile asali ilikimaliza cdm jumla.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

    Rais ajae afunge makanisa ya wahuni yote ili kunusuru wananchi kutapeliwa kama kagame alivyo thubutu kule rwanda
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

    Chama kime savai kote huko its a shame kufia awamu hii kwa tajir “mtata”mbowe [emoji23]
Back
Top Bottom