Hii kampuni imekuwa ikitoa rushwa kubwa sana kwa uongozi ea Kinapa ili kuwadhulunu porters.Kuna mhifadi mmoja aitwaye Mathew Mombo huyu amekuwa akishiriki moja kwa moja kutetea huu uovu, kila anapoelekewa malalmiko huwa anamtetea.Tupaze sauti kwa pamoja tuwatetee hawa porters wanaodhulumiwa na...
Hii kampuni ina matatizo makuvwa sana! Mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa inadaiwa zaidi ya dollar 120000 kwa kupitisha watalii zaidi ya 120 bila kuwalipia entry fees. Na huyo Nyalandu ndiye alikuwa mstari wa mbele kumtetea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.