Nilichodanganya umma ni kipi? Hili sio tataizo sugu?
Na kwamba walioanza na hii scholarship mwezi huu wa October mpaka sasa hawajalipwa hela! Ninafahamiana na wathirika wa hili suala na mpaka sasa hawajapata hela toka wizarani,ambazo zilitakiwa zilipwe Septemba mwishoni.
Nitake radhi kwa...
Kesho kutakuwa na msafara wa viongozi wa TCU na Wizara ya Elimu(MOEVT) utakaotembelea ofisi za DAAD, mjini Bonn nchini Ujerumani. Msafara huu utaongozwa na Katibu mkuu Wizara ya Elimu pamoja na kiongozi mkubwa wa TCU. swala hasa ni kuhusiana na ufadhili unaotolewa na wizara ya elimu pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.