Recent content by kalo

  1. K

    Natafuta kazi

    Habari zenu wana jamvi mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta kazi ya aina yeyote katika mkoa wa mbeya,kwa anaehitaji ani pm, ila profesional yangu ni sales and marketing
  2. K

    Nahitaji kuelewa

    Habar zenu wapndwa, poleni na majukumu ya kila cku, naomba kuuliza hiv hawa watu wa zoom wanaotupia matangaz ya kaz then ukitaka kuapply mbna anwani sizioni wenzangu tnafanyaje? Tueleweshane manake mambo ya kidigital haya ni shida kwa wengine. Msaada tafadhali kwa yyte anayeelew
  3. K

    Natafuta kazi

    Habari zenu wadau, mim ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina diploma ya sales and marketing vilevile niko vizuri kwenye mambo ya customer care, na computer pia naweza kutumia kwa mtu yoyote anayehitaji mtu wa namna hii au ana mtu anayemfahamu please contact me through rosejulius41@yahoo.com
  4. K

    Nahitaji kazi yoyote ya halali

    Uckate tamaa utapata tu
Back
Top Bottom