MESEJI MOJA..........(05)
Imeandikwa Na SALUM KALASE
MAWASILIANO: 0625000557
SEHEMU YA TANO.
Dakika kama kumi zilipita nikiwa sijui cha kufanya, na cha ajabu zaidi nilijikuta naanza kutokwa na machozi bila kutarajia. Kitu hicho kilinifanya nijishangae kwa kutokuamini kilichokuwa kinanitokea...
MESEJI MOJA......(04)
Imeandikwa Na SALUM KALASE
MAWASILIANO: 0625000557
SEHEMU YA NNE.
Prisca alishuka kutoka ndani ya gari na kuelekea nyumbani kwao. Mie sikutaka kuondoka kwanza kwani nilitaka kuhakikisha namuona Prisca akiingia ndani kwanza ndio niondoke.
Prisca aligonga geti la...
MESEJI MOJA........(03)
Imeandikwa Na SALUM KALASE
MAWASILIANO: 0625000557
SEHEMU YA TATU.
"Enhe! Niko poa mie" Nilimjibu Prisca kisha nikashuka kutoka ndani ya gari na kuzunguka kuelekea kwenye mlango wa upande wa pili na kuufungua kisha nikamuomba Prisca aingie ndani ya gari, akafanya...
MESEJI MOJA...........(02)
Imeandikwa Na SALUM KALASE
MAWASILIANO: 0625000557
SEHEMU YA PILI.
"Acha kunitania basi James" Prisca alinijibu kwani hakuyaamini maneno yangu ya kuwa nilikuwa naisubiri simu yake.
"Haki tena nakuambia Prisca nimeisubiria sana simu yako nakuambia" Nilimjibu...
MESEJI MOJA...........(01)
Imeandikwa Na SALUM KALASE.
MAWASILIANO: 0625000557
SEHEMU YA KWANZA.
Kwa majina naitwa James Daudi ni kijana wa miaka ishirini na tano. Katika umri wangu huu sijawahi kuwa na mpenzi hata mara moja. Kwa lugha nyepesi naweza sema sijawahi kuijua radha ya mwanamke...
MPENZI WANGU AMINA........(10)
Imeandikwa Na SALUM KALASE
Mawasiliano: 0625000557
SEHEMU YA KUMI.
Naikumbuka vizuri sana ile mechi yangu ya kwanza kucheza na Koleta, mechi ambayo ilihitaji vipindi vitatu vyenye heka heka za kutosha, nakiri kusema Koleta alikuwa amenipania sana siku ile...
MPENZI WANGU AMINA........(08)
Imeandikwa Na SALUM KALASE
Mawasiliano: 0625000557
SEHEMU YA NANE.
“Mbona una maswali mengi hivyo, jibu ni moja tu hapa unanisaidia au?” Amina alionekana kukasilishwa na maswali yangu
“Ni lazima nikusaidie Amina niambie nachopaswa kufanya sasa” Ilibidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.