Bila shaka JFs wote mu buheri wa afya. Wahenga waenziwe kwa msemo wao wa mficha uchi hazai. Mwenzenu najivua gamba baada ya kumpata diaresti ambaye nilimsaka kupita foramu hii ya jamii. Nilipata shaka wakati ninaipachika ukutani ukizingaitia kwamba mtu mwenyewe alitakiwa awe wa nchi jirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.