Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.
Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa...