Recent content by Kaladero

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Mwanamke katika jamii na familia

    Ni nzuri kujua nafasi ya wanawake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uongozi bora ni chachu ya maendeleo chanya Tanzania na Afrika

    Usisahau kupiga kura kama andiko limekupendeza
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Ni andiko zuri kwa changamoto za ajira ...saaafi
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uongozi bora ni chachu ya maendeleo chanya Tanzania na Afrika

    UTANGULIZI Viongozi wanaojitambua na kuzitambua vizuri kazi na majukumu yao ndilo jicho bora katika kutengeneza nchi yenye maono na muelekeo wa kujenga msingi mzuri wa maendeleo kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho . Uongozi ni wajibu ,dhamana, jukumu, deni unalopaswa kulilipa kwa...
Back
Top Bottom