hiyo yote ni Human right tuliyoipokea pasipo kujiuliza ni nini tunapoke kila siku wabunge wanaaaangalia eti nchi iwe na haki za binadamu bila kujua kuwa huo ndo mwanzo wa kupotea na kuwa watumwa ktk nchi yetu ni uhuru waaache wafanye ila watakpokuwa watu wazima na kuona yanayofanywa na watoto...
Hakuna anae waogopa ila tu mara nyingi wanakimbiwa ila wapaswa kujua c wote tunawakimbia mara nyingi wanakuwa na ukosefu wa heshima ingwa c wote vilevile hii ili isitokeeee makubaliano lazima yawepo pia wengi wanakuwa na kutojiamini me kwa upande wangu sioni kama ipo sababu zaidi ya mtu kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.