Recent content by kaking81

  1. kaking81

    CCM wacharuana bunge live

    WANARUDISHA BUNGE LIVE KWA MBINDE CHAMA cha Mapinduzi na Serikali yao hivi sasa wako kwenye Mvutano mkali kwa kipindi cha Wiki nzima na zaidi, kuhusiana na uamuzi wa kurejesha "Bunge Live" kwa Wananchi. Viongozi wa CCM wanatoa hoja Vikaoni kwamba; Wabunge wake hawaonekani kwa Wananchi na...
  2. kaking81

    Tetesi: Mbowe atuma barua ya siri kwa Rais Magufuli kuomba amuangalie kwa jicho la huruma

    unajua ninyi ccm mnadanganyana sana? ujinga kwenu ndo issue. Mbowe hawezi kufanya upuuzi huo labda mtengeneze kimemo chenu najua kikosi cha Bashite mdo kazi yake ila mtafeli vibaya kama mlivyofeli kumuua Lissu Leo mnaumbuka kweupe
Back
Top Bottom