Recent content by KakaBlaza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Akilinjema, Usihukumu bila ya kuwa una taarifa kamili. Inawezekana pia kwamba gari limefanywa service vizuri tu, ila uzembe wa fundi ndio uliosababisha breki kufeli ghafla huku gari likiwa kwenye mteremko huo. Uchunguzi wa polisi utatujulisha ni nani hasa aliyefanya makosa yaliyoisababisha...
Back
Top Bottom