"maisha ya mjini wanasema ni ujanja, ukishuka kwenye meli wanakuita mshamba, ukishuka kwenye treni wanakuita wakuja, ukishuka kwenye basi wanakuita mshamba na ukishuka kwenye ndege wanakuita kibopaaa " hicho ni kiitikio Cha wimbo mmoja ulitoka miaka ya 2001, 2002, 2003 jamaa alienda mjini...