Recent content by Kajiarashid

  1. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni uzushi

    Hii ni ya JUU kwa JUU. NASHUKURU UMENIITA MZEE, nimeipenda approach yako ....................................... Ewe kijana Jasiri.....Gundua kuwa muunda chombo ndiye mwandika manual book. Leo katuumba Mungu ndiye stahiki wa kutuandikia instruction manual book (KATIBA). Hiyo ndiyo silisila...
  2. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni uzushi

    MAISHA: Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu. Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama, Upuuzi n.k. Maisha safi, ni vitu vitatu KUVISHIKA. Navyo ni~ 1) Uaminifu, 2) Heshimu na 3) Utii...
  3. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kaka! Glasgow. Wako huko kutafuta suluhu ya Tabia ya nchi kutugeuka walimwengu. Hili ni suala la muumba na muumbwaji. Nini tumemkosea, ili aachia majanga kutifikia?
  4. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Namna nyingine IPO. Magifulu alisema. "MUNGU TUMUWEKE MBELE." Sisi tumekuwa tukiwaweka wanasiasa mbele. Sasa! Kumuweka Mungu mbele ni nini? Hii ndiyo namna nyingine.
  5. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Tumeona........ Muendelezo: Tumeona. MAISHA.......
  6. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Wala! Samia wa watu hajapotea, bali waafrika tulishapotezwa na wazungu tangu kupata uhuru wa bendera. Hapo Samia Rais alipo, ni AJIRA. Yeye ni mwajiriwa namba moja. Jiulize kaajiriwa na nani? Ona! Waingeteza serikali yao ni Maanglikan. Wajerumani ni Waluteti. Waitaliano ni Makatoliki...
  7. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    ADUI? Adui sio Magufuli, wala sio Samia na wala sio CCM; bali ADUI ni sisi wenyewe, tumekuwa wavivu wa KUFIKIRI. TAFAKURI: Neno hili TAFAKARI ndani ya Qur'ani, limetumika Mara 37. "Je! Hamfikiri"? Leo tuna miaka 60, baada ya uhuru wa BENDERA. Muda kama huu ni mrefu sana. Mbona hatujiulizi...
  8. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Uchaguzi na huo uteuzi wa makamu wa Rais, vyote vipo kwenye katiba ya nchi. Muhimu ni watu weusi hasa vijana, mjue kuwa hii katiba ya nchi sio Katiba. Bali ni kitabu chenye mfumo wa utawala wa ukoloni maendeleo. Yeyote atakaye ukwaa urais na asiwe MTAWALA, atafeli na kuzidi kuididimiza nchi...
  9. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Washington Post: After a Tanzanian opposition leader’s arrest, hopes for a democratic turn fade

    MAMA RAISAT SAMIA, USITULIE: Ukweli ni kwamba, UPINZANI Tanzania, ni silaha ya wakoloni wazungu; iliyo oteshwa UN NY na kumiminiwa maji na udhwalimu wa kimagharibi (TAMAA YA MADARAKA) kwa lengo LA kuwahujumu RAIA wa nchi ziitwazo ulimwengu wa tatu. KWA NINI IWE HIVYO? UPINZANI ni chimbuko LA...
  10. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    DUNIA: Vumilika, Mapito Mwanza, nawe Kijana wa Jana, mimi ni Mzee wa juziii! Lakini hebu tushee fikra mujarabu pamoja. Dunia ina UMBILE. Nalo lina TABIA. Tabia ya UMBILE la Dunia, lina thubutu kwa Mwanadamu ili kuweza kufaulu, ni kwa kuyashika kwa kujua mambo MATATU- MAISHA, UHAI NA ELIMU...
  11. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Naomba tutoe mchango yakinifu usio kuwa huu mfumo wa utawala wazungu walioturithisha. UKWELI UKIDHIHIRI, UONGO UTAJITENGA: Soon nitajaribu kubainisha kuwa tuwe na vyama vitatu tu. Lakini sera ni ya taifa na sio chama. Tuwe na ilani ya uongozi na ilani ya utawala za kitaifa. Na hatuhitaji TUME...
  12. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Bro, nisamehe. Komenti yako hii nimeshindwa kuvumilia. Mimi Magufuli hakuwa chaguo langu. Simtetei, bali WEWE UNAHITAJI KUJITAMBUA, UBADILIKE NA UACHE MAZOEA. jua kuwa KUONA NI KUAMINI. Tunachotakiwa kuona humu kwenye viwanja hivi, ni fikra za kujenga (constructive ideas) na sio lugha chafu...
  13. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    TUME HURU YA UCHAGUZI: Tumeona na kukubali kuwa KATIBA YA JMT toleo la mwaka wa 1977, SIO. SIO! Kwa maana si KATIBA, bali ni kitabu chenye kuonyesha mfumo wa kikoloni walivyoweza kutawala MAKOLONI yao (WASHENZI) kwa mbinu ya kuwatia KHOFU. KHOFU: KHOFU ni dini ya wakoloni watawala...
  14. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    COVID 19, namba hii kujitokeza hapa ni kwa bahati au ni nini? Aya ya kwanza kwenye Msahafu Q1:1 ina herufi 19. Moto wa jahannam, una walinzi 19. TUSOME: Mimi sio shekhe bali ni mkereketwa wa Qur'ani. Hii namba kumi na Tisa iko kwenye huyu mdudu COVID 19, WHY? Huu moto wenye walinzi 19, ni...
  15. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ni kufa tu. Dunia imefikia mwisho. Kirus cha covid 19 ndicho kinazungumza nasi. Sio Mungu (biblia/qur'ani) tena. Umoja wa Mataifa NY una idara 19. Na zote zinaongozwa na Wayahudi. Taifa pekee duniani lisilo na nchi. Taifa lililolaaniwa na Mungu. Viongozi wetu ndipo wanapotuelekeza kwa ajili ya...
Back
Top Bottom