Mambo vipi wadau?
Kwa jinsi hali ilivyo ya mambo na matukio tunayoendelea kushuhudia hivi katika jamii ni dhahiri kuwa serikali inapaswa kuchukua hatua na tahadhari kubwa kuelekea Uchaguzi wa 2025 la sivyo tunaweza kushuhudia uvunjivu wa amani ambao hatujawahi kuhushuhudia hapo kabla...
CCM kimechoka hakina radha yoyote kwa watanzania, hatuna budi kukikataa na kukipumzisha ili wazalendo waipeleke nchi mbele. CCM tatizo ina magonjwa sugu ambayo hata ipelekwe Appolo II haiwezi kupona magonjwa hayo; ambayo ni ufisadi, rushwa, ubabe, dharau, matusi, unyanyasaji, ubaguzi na ulevi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.