Recent content by kaishebo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

    Mwembe wa babu ulikuwa na mawe mengi chini yake kuliko idadi ya maembe mtini mwisho wa msimu
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtifuano CHADEMA: Wakichomoka kwenye hili, 2025 Ikulu yao

    Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025. Kundi la kwanza inaelezwa linaongozwa na Mwenyekiti FAM huku lingine likiongozwa na Makamu M/kiti TAL. Uchunguzi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Hawa ndio naona wanafaa kushika nafasi hiyo. Wewe unaona nani anafaa?
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Mgombea Urais CHADEMA 2025?

    Basi fanyeni mapema, nijipange....niuze kabisa nyumba yangu nipate pesa ya kuhonga wajumbe
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Mgombea Urais CHADEMA 2025?

    [emoji2][emoji2][emoji2]
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Mgombea Urais CHADEMA 2025?

    Hapana shaka CCM ni SSH: ACT-Wazalendo ni ZZK: CHAUMMA ni HRS: CHADEMA ni nani? Maoni yangu; -Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025 wasishtukizwe na mgombea ambaye pengine hawamuelewi vizuri tabia na uwezo wake.
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

    Naona hii ni ndoto ya mchana....labda 2030
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dude limegoma kulala!

    "....... natural misty (wingu zito) blowing to the air, if you listen carefully, you will hear.....
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nani aliyevujisha mkataba wa Bandari na DP World?

    You're right....Secret is for three when two die
  10. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Kwani kakataa uwekezaji au kaeleza mkataba ulivyo!¿ Tatizo mnapenda kusikia mnayoyataka......ukweli hauna tabia hizo, yaani hauna kona
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wilson Mahera: Kwenye Uchaguzi kama watu wanakatwa huko chini, kuonewa, kutoruhusiwa kuingia vituoni, semeni

    Kabisa haya ndo yamewapeleka Dodoma!?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

    Na aliyesaini kiapo na Nusrat Hanje
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

    Kimzaha mzaha, Membe anakuwa Rahisi wa Tz, anampiku Rais Magufuli na rais Lissu!
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

    Kwani imetishwa tume!?
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

    Yule bibi aachwe apumzike, kalitendea makubwa taifa hili. Labda kama jina lake linatumika kwa wema.
Back
Top Bottom