yaan!haya mambo wengine tunaona kawaida,tuishia kuona nyaraka,ila hata hauwezi ambiwa twende mke wangu ukaone shamba,nimenunua,ila utasikia Dada au baba anapigiwa kwenda kuoneshwa.Mim nichukulia kuwa huo ndio udhaifu wake na mambo yanasonga,ila mim mambo yangu namshirikisha kama kawaida.Sasa...