Hastaili kuongezewa mashtaka maana hata hayo aliyo andikiwa ya ubabaishaji gurudumu alilokuwa anataka kufunga lilikuwa zima kabisa. Traffiki huyo ni mwendawazimu.
Hekaheka kati ya Trafiki na dereva wa basi wakichapana makonde baada ya dereva wa basi hilo kutaka kufunga gurudumu ambalo Trafiki huyo aliikataa kwa madai ni chakavu.
Dereva alipoamua kufunga gurudumu hilo chakavua, Trafiki huyo alimkamata kinguvu huku akimlazimisha kwenda kituo cha Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.