SEHEMU YA 5
Jengo refu la Velora Company lilisimama mithili ya mnara wa mamlaka katikati ya jiji. Sakafu ya mwisho, iliyozungukwa na kuta za kioo kilichochongwa kwa ustadi, ilihifadhi utulivu uliokuwa wa kipekee. Hapo ndipo alipokuwapo. Mwanamke ambaye hakuhitaji sauti ya juu kuamrisha, wala...
SEHEMU YA 4
Ilikua ni siku ya jumamosi jion Jua lilikuwa limeanza kupinduka wakati Liam Carter alisimama mbele ya mlango mkuu wa nyumba yake mpya iliyoko Masaki. Hii ilikuwa ni siku ya kihistoria kwake—siku ya kuhamia rasmi kwenye makazi aliyoyanunua siku chache zilizopita.
Nyumba hiyo ilikua...
SEHEMU YA: 3
Nguvu walizokuwa nazo wale watu waliomvamia Liam zilitokana na kiapo cha kale cha giza kilichoitwa “The Veil of Umbros” — agano la kale la wachache waliotamani nguvu za haraka kwa gharama ya nafsi zao.
The Evil Umbros ilikuwa ni mkataba wa kipepo uliosainiwa na roho zao mbele ya...
Baada ya muda aliweza kufika hotelini alikua amechoka sa mizunguko na pulikushani zilizo tokea siku hiyo hakuitaji kufanya jambo lolote zaidi ya kujipumzisha
Ilikua ni Asabuh aliangalia saa ilikua ni mida ya saa5 asubuh Hakuwa na mawasiliano mapya. Simu yake ilikuwa kimya kama hakukua na mtu...
SEHEMU 2
Liam baada ya kusimama aliskilizia kwa sekunde kadhaa aliudii kitandani na kujisemea ndio kwanza hajamaliza hata siku moja lakini tayari kuna watu wamesha tumwa kushugulika nae
Mlango wa chumba 408 ukafunguliwa kimya kimya, kwa kutumia kifaa maalum. Wanaume watatu waliingia...
SHATTERED EVIL:LIGHT AND SHADOW
MTUNZI:KAILOJONHJO.
UTANGULIZI
SHATTERED EVIL: LIGHT AND SHADOW Ni simulizi inayochanganya ,mystery, fantasy,mapenzi, ujasusi
Miaka ya zamani watu walisifika sana kua na nguvu iyo ilitokana na kua na upeo mkubwa wa akili mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.