Recent content by kailakarama

  1. K

    ACT-Tanzania imepata usajili wa kudumu 5/5/2014 na kupata cheti cha usajili

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT-Tanzania) TAARIFA KWA UMMA. Kumekuwa na propaganda zinazoendeshwa ktk maeneo mbali mbali ya kwamba chama cha ACT-Tanzania hakijapata usajili wa kudumu hivyo hakina sifa ya kushiriki na kuweka wa wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa,vijiji na...
  2. K

    CHADEMA yavurugika Kigoma

    Ziara ya mwenyekiti wa taifa wa Chadema Mh. Mbowe mkoani Kigoma yawavuruga wanachama na viongozi wa Chadema Kigoma. Baada ya Mbowe kufanya ziara mkoani Kigoma na kuzomewa katika mikutano mbalimbali ya hadhara aliyofanya mkoani Kigoma tofauti na alivyotarajia ilimlazimu kukutana na viongozi...
  3. K

    CCM na mamluki 14/12/2014

    Serikali ya CCM na mikakati ya ushindi wa uchaguzi watu serikali za mitaa tarehe 14/12/2014. Ama kweli huu ni uchaguzi wa ndondo maana serikali ya CCM ndiyo inaamua na kupanga kila kitu. Kwa kuwa wanajua hawakubaliki kwa wakazi wa mitaa husika wanatumia pesa kufanikisha ushindi wao. Hatua...
  4. K

    Ofisa Habari wa CHADEMA aandaa press ya Kuivuruga ACT

    Chama cha demokrasia na maendeleo(chadema),kimetuhumiwakusuka mkakati wa kukuvutia chama cha ACT-Tanzania kwa kutumia baadhi ya wanachama wa chama hicho. Taarifa ambazo zimelifikia gazeti hili Dar-es-salaam jana,mmoja wa viongozi wa chama hicho,alisema kuwa wanahisi chadema wanacheza mchezo...
  5. K

    ACT-Tanzania: Hakuna viongozi waliosimamishwa uongozi wala kukaripiwa

    ACT-TANZANIA ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY TAARIFA KWA UMMA. IMERIPOTIWA LEO KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KATIKA KILE KINACHOTAJWA NI MGOGORO WA KISIASA NDANI YA CHAMA KATI YA WANAOJIITA WAASISI WA CHAMA NA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA NA KUPELEKEA KUTOA TAMKO LA KUMSIMAMISHA...
  6. K

    Mwembeyanga 9/11/2014

    ACT-Tanzania Taifa Kwanza. Wazalendo kesho saa nane mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika katika Viwanja vya mwembeyanga Temeke. Tujitokeze kwa wingi kumsikikiza Mwenyekiti Taifa wa ACT-Tanzania Kidawi Limbu.
  7. K

    ACT-Tanzania kufanya mkutano wa hadhara Mwembeyanga tarehe 9 Novemba,2014

    Karibuni sana wadau kusikiliza wazalendo wakiongea na watanzania
  8. K

    ACT-Tanzania kufanya mkutano wa hadhara Mwembeyanga tarehe 9 Novemba,2014

    Alliance for change and Transperancy
  9. K

    ACT-Tanzania kufanya mkutano wa hadhara Mwembeyanga tarehe 9 Novemba,2014

    TAARIFA KWA UMMA Ndugu wanahabari Uongozi wa ACT Mkoa wa Dar-es-salaam unapanda kuwa taarifu waTanzania wote na wakazi wa Mkoa wa Dar-es-salaam kuwa ACT-Tanzania itashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakao fanyika tarehe 14/12/2014. Na pia tulikuwa tunafanya maandalizi ya uchaguzi huo...
  10. K

    Singasinga Ana haha

    ATTENTION!.... ----------------------- Kuna taarifa kwamba faili la kesi ya Zitto Kabwe kupibga kuvuliwa uanachana wa Chadema limeitwa kwa mmoja wa majaji wa Mahakama Kuu. Haijulikani kama jaji huyo ni John Utamwa au mwingine. Utamwa ndiye aliyeweka zuio ambalo limenfanya Zitto awe mbunge hadi...
  11. K

    Udhaifu wa UKAWA makubaliano ya tarehe 27 Oktoba, 2014

    Muungano wa ukweli ni ule unaowaunganisha watu kiitikadi na kifalsafa. Mnapoungana kiitikadi kwa pamoja mtasimama Kwenye mrengo mmoja ambao ni ama:- 1.Mrengo wa Kulia wanamuunga mkono mtawala (ubepari CCM) 2.Mrengo wa Kati Kulia wanaomuunga mkono mtawala kiasi (liberali CUF) 3.Mrengo wa Kati...
  12. K

    Ukomo wa uongozi

    Kama set A(CCM) wana uhusiano na set B(CUF) kule Zanzibar na wakati huo huo huku Bara set B(CUF) anauhusiano na set C(CDM),set D(NCCR) na set E(NLD). Hivyo basi set C(CDM), set D(NCCR) na set E(NLD) wana uhusiano wa moja kwa moja na set A(CCM)
  13. K

    Ukomo wa uongozi

    Viongozi wa chadema shinyanga mjini wahamia ACT baada ya kuchoshwa na siasa za uzushi za chadema Walio hamia ACT ni pamoja na Mwenyekiti wa kata ya kambarage ndugu Samwel dalla katibu muenezi kata Merchiory Tafuta, muhazini kata samuel raphael na kata ya chamaguha ni zacharia Samsoni...
  14. K

    Wajiunga na ACT

    Viongozi wa chadema shinyanga mjini wahamia ACT baada ya kuchoshwa na siasa za uzushi za chadema Walio hamia ACT ni pamoja na Mwenyekiti wa kata ya kambarage ndugu Samwel dalla katibu muenezi kata Merchiory Tafuta, muhazini kata samuel raphael na kata ya chamaguha ni zacharia Samsoni...
  15. K

    Ukomo wa uongozi

    Wanachama wa Cuf,Cdm,NCCR na NLD wasema na wao karibuni watalipua makao makuu ya vyama vyao. Kama wananchi wa Burkina Faso walivyolipua bunge kwa sababu ya kupitisha kifungu cha kumruhusu rais wao agombee kwa kipindi cha tano baada ya kuwa madarakani kwa miaka 27. Na wanachama wa...
Back
Top Bottom