1: Nikampuni ya pekee ambayo imeshaajili na kufukuza team zaidi ya 8 kati ya mwaka 2016
2: Nikampuni ya kipekee ambayo hutangaza nafasi za kazi Mara kwa Mara fuatilieni nyuzi zake humu mtaona hizo posts nyingi mno
3: Ni kampuni pekee ambayo kila anayefanya kazi pale lazma aondoke anadai mshahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.