Wanaume huwa live kwenye tv na maswali kutoka kwa wananchi kwa njia ya simu, hujui atakuuliza nini na wakati gani, lakini wanaume wanajibu kwa kujiamini. Aah aaaah ndio maana walikimbia midahalo oooh .....
Hakika tumepata raisi wa pili Tanzania baada ya Nyerere wengine walikuwa wapitaji tu na kutupotezea muda, JK tangu umekuwa raisi umekuwa mtu wa ukweli siku zote na usiyefumbia macho maovu ya serikali, inasemekana wewe ndiwe uliyemrudisha spika asiende Marekani huko huko kwa kina Richmond alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.