Jamani ni malipo gani ya mara mbili unayoyaongelea ndugu yangu mbona huelewi mambo. kama unalipa Bunge inatoa posho maana imekasimu ktk bajeti yake na wizara au taasisi ikitoa posho maana yake imekasimu ktk bajeti yake sasa hapao kuna double payment?? unataka hiyo posho iliyokasimiwa kwa ajili...
Ndugu yangu Buchanan kama hujui vitu ni bora usipoteze muda wako kuandika kutupotosha na hoja zisizoeleweka. tafuta ukweli wa jambo chambua tujadiliane vizuri au sio ndugu yangu. PCCB wametumwa kufanya kazi hiyo na mamlaka ya Juu tena kwa kulazimishwa walikuwa wapi siku zote na hali jambo...
yaani hunigusi hata kidogo na hoja yako. kumbuka mtu unapoitwa kwa mahojiano njia moja tu ndio inayokubalika nayo ni kwa njia ya Summons tena ya maandishi. niambie ni lini umewahi kuona summons ya simu??ndugu yangu hiyo haipo hata mie ningeitwa kwa staili hiyo nisingekwenda.
Mind you tena PCCB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.