Recent content by kagaruki gabone

  1. kagaruki gabone

    Nataka kuahirisha mwaka wa masomo.

    Yaani loan sijapata na ukiangalia course yenyewe niliyochaguliwa ni utata mtupu. Nilipata Bed psychology UDSM. Ila hali ya mfuko ndo inanifanya niahirishe masomo kwa mwaka huu mkuu
  2. kagaruki gabone

    Nataka kuahirisha mwaka wa masomo.

    Je kuna njia gani za kufuata ili niweze kufanikisha hilo?? Nataka kuomba chuo upya mwakani. Je waweza nisaidia???
  3. kagaruki gabone

    habari za uhakika kutoka HESLB.

    Are u speaking from your stomach or your head??? Acha kupost kama unahsi huna la kuongea humu.:mad::mad:
  4. kagaruki gabone

    Msaada jamani

    Madam amna bwana. Ila vimeo kibao yaani natamani ningekuwa network operator kabsaa..
  5. kagaruki gabone

    msaada wa tovuti ampapo naweza kupata notice online

    Kama alivyosema mdau hapo juu, google inaweza tumika kupata notes unazotaka ila kwa mara nyingi hata kama ukigoogls lazima ufuate ya lecturer.
  6. kagaruki gabone

    Walimu mbeya wakataa kutekeleza mpango wa Matokeo makubwa sasa(BRN)

    Haina maana kwa kweli. Shetani yuleyule unadhani ukimbadilisha rangi atakuwa malaika?????? Tuache uyani na hii BRN
  7. kagaruki gabone

    Msaada jamani

    Bonna mgoja nicheki sasa hivi coz kuna namba zinanizingua mbaya
  8. kagaruki gabone

    Msaada jamani

    Kama kuna mtu mtaalam wa mitandao ya simu humu ndani maomba kujua kama unaweza kublock sms kuingia kwenye simu yangu. Yaani msg zisiwe delivered kwangu. Pls
  9. kagaruki gabone

    Msaada kidogo wadau

    Dah!! Tatizo wengine tuko kijiji labda kama kuna altenative zaidi ya kufika tcu kaka geofrey
  10. kagaruki gabone

    Msaada kidogo wadau

    Ahsante sanna kaka sady
  11. kagaruki gabone

    Msaada kidogo wadau

    Jamani naomba msaada kama inawezekana kubadili cours ukiwa chuoni. Mimi nimechaguliwa Bed psychology udsm. Ila ningependelea kuwa Ba Ed. Nipeni procedure jamani..
  12. kagaruki gabone

    Udsm

    Hahaaaa ungetaka dume ningekuachia geto lote..
  13. kagaruki gabone

    Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

    Msg delivered....... kazi kwao
Back
Top Bottom