Recent content by kadogo2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Tunajifariji na hela sijui tukiwa nazo tu move on but mwanamke bila mwanaume haitoshi Asante
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Duuh kwaiyo wasukuma wenyewe ndio hawajui vyoo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Heee kumbe na wanaume wanaroga wanawake mmh Hii hatari sasa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Asante kwa ushauri.. msukuma nampenda mno kumuacha imekua ngumu ila naendelea kujaribu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Sawa kaka hakuna shida ni mimi ninaelombwa si ndio au???
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Mshukuru Mungu kakupa weww akili timamu akaninyima mimi sawq mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Astaghaflahiiii 😂😂😂😂😂😂 Wajanja siku hizi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Chartgpt 😂😂😂
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    😂😂 Mimi kweli ni mweupe pee Ila kwenye mahusiano hakuwai kunihonga kitu kikubwa labda tukionana ndio aniachie kakitu.. Kuhusu umri nafikiri aliniona ni mdogo yeye ni mkubwa akitaja umri wake naweza mkataa labda alijua nitataka wa rika langu Kimuonekano hiyo Miaka 35 hafiti labda 30 Miaka...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Sawa Ila Kama chartgpt maana alinijibu hivi 🤣🤣🤣
Back
Top Bottom