Recent content by kadodachale

  1. K

    Mademu wa Tanga, HAKUNAGA

    Kwakweli hao watoto noma sana mana dkika hii tu wamenipa mzuka
  2. K

    Headache au maumivu ya kichwa

    NAMI NAOMBA KUJUA KUNA UHUSIANO KATI YMAUMIVU YA KICHWA NA PRESURE auTTIZO LA MOYO
  3. K

    Dr. Massawe wa Tanzania Heart Institute - THI

    NAOMBA KUJUA ATHARI KUBWA ZA MAGONJWA YA MOYO NA SHINIKIZO LA DAMU or PRESSURE
  4. K

    Hizi ndio namba za Anna Makinda na Ndugai!

    Hapo mi naona fresh tu, kwani huyo jamaa anauliza swali gani utandawazi huu bwana.Hata yako mi namiliki vp unasemaje
  5. K

    Slaa: CHADEMA tunajua Kamati ya POAC haijafutwa, Makinda hana Uwezo wa Kuifuta

    hizo ni fikra zako potofu kwamba wataishia kujua tu,pili hakuna uhusiano na kwenda mahahakamani.mambo ya bunge yatashughulikiwa na kanuni za bunge
  6. K

    Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    Siri yamwana harakati lazima uondoe uoga,sio utani anaeiba kuku achomwa moto fisadi wa tilion apeta.watnzania tuna hatia ktk hili.tuwachinje vichwa npata hasira naomba kuwasilisha maoni yangu.
  7. K

    Rais Kikwete amjibu Lowassa tatizo la ajira nchini

    Tunatakiwa kujitathmini kuanzia kwenye mfumo wetu wa elimu je unatija ktk kuleta maendeleo ya nchi,zingatia tu mpaka sasa hatuna mtaala waziri kashindwa kuwasilisha bungeni.
  8. K

    Nape hilo sahau 2015

    Ujinga kama huo upo kwa wasio na fikra hai kama huyo nepi kwanza ajithmini mana chama chake kimejaa uchafu ambao upo kwenye nepi yake,jukumu lake ni kusafisha tu kilichochafuka na sasa uchafu umemzid anabaki kuropoka namna ambavyo chama chake kinaharibu na kupora haki za watu.Kwa hali ilivyo...
Back
Top Bottom