Habari zenu wakuu.
nipo hapa kibandamaiti kuwaletea yanayotokea wakati maelfu ya wazanzibar wakiendelea kumiminika viwanjani.
updates:
viongozi mbali mbali wa ukawa wamefika uwanja wa ndege zanzibar kumsubiri mgombea wa urais ukawa Edward Lowassa.
tutawaletea picha muda mfupi ujao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.