Recent content by KADIAMAEMBE KWIMYOLA

  1. K

    Historia ya Bahima empire ni ipi?

    Kuna sehemu mpakani mwa UGANDA na RWANDA kama siyo ISINGIRO district ni NTUNGAMO district kuna sehemu inaitwa MPORORO hapa ndo inasadikiwa kwamba zamani ilikuwepo MPORORO kingdom ambayo ndiyo chimbuko la Bahima kingdom. kipindi cha vita ya Kagera MUSEVENI alikuwa anajificha kwenye pango eneo...
  2. K

    Historia ya Bahima empire ni ipi?

    mimi nmezaliwa na kukulia Karagwe mpakani mwa Tanzania na uganda (near Murongo boarder) kandokando ya mto Kagera. hili ni eneo ambalo linakaliwa sana na mchanganyiko wa makabila ya watu kutoka nchi za maziwa makuu yaani Batutsi, bahutu from rwanda, barundi from burundi, banyankole, baganda and...
Back
Top Bottom