Wewe mwenye alili kubwa nani anaisababisha hiyo migogoro? Kwamba ili ujiran uwe mwema jirana ako akileta chokochoko uufyate ili usimuuzi, una akili kweli ww??
Kuna watu wanasahau kabisa , kuna mambo ya Muungano ambayo serikali ya jamhuri inayagharimia bila mchangonwa zanzibar, kitu kama ulinzi na usalama, zanzibar wana polis na wanajeshi wanaohudumu na wanalipwa na jamhuri, kuna kitu kama bidi ya mikopo inahudumu zanzibar kwa mchango wa serikali ya...
Umesema sahihi na sawa kabisa, wajinga wanawaza uhusiano wa kinyonyaji ukiwauliza wakati hao mabwana zao wakiwa hawafurahishwi na yanayotokea, vp walikosa mishahara?? Mababrabara hayakujengwa?? Miradi ilisimama??ni wapuuzi kuwanyenyekea watu , muhimu ni kubeshimiana na kuhusiana kwa faida za...
Anatosha na zaid, alishiriki hata kuandaa budget na mpango wa maendeleo wa mwaka huu wakati mh.mpango alipokua na ufhuru wa kiafya..
Anafaa na anaijua wizara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.