Recent content by kachwele

  1. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hata sielewi kabisa nahisi huyu analinda maslahi binafsi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    Wewe unayezungumzia kudeteriorate kwa afya ya lowassa nini warrant ya afya yako? Acheni majungu...chukueni fomu nanyi mgombee
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    Edward Mimi sijawahi kushuhudia watanzania wengi kiasi hili kuwa na imani na MTU hata kabla hajatangazwa rasmi ama kweli wewe ni chaguo LA wengi achana na wanaokuchafua mamlaka huwekwa na mungu midomo ya watu haina madhara hata kidogo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dkt. Magufuli achanja mbuga kutafuta wadhamini

    Please get into the race and compete seriously
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata wakati mgumu kwa wajumbe Kamati ya Mambo ya Nje

    Naomba tuendelee kuvuta subira ccm ni taasisi kubwa haikurupuki na muda ukifika rais atapatikana kutoka ccm
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndo siri ya taarifa ya TV zote kulazimishwa kujiunga TBC saa mbili jioni

    Jamani wafuatiliaji was jf wenzangu nawaomba tuchambue suala la sheria za mitandao na siyo kushambulia ccm.....ccm inahusikaje ktk hili?
Back
Top Bottom