Recent content by kachabali

  1. K

    Msaada wa kuchukua fedha zangu NSSF

    boss nafanya kazi kwa msimu,ivyo ukisha narenew
  2. K

    Msaada wa kuchukua fedha zangu NSSF

    sijaacha kazi mkuu ila nikua kazi ninayofanya ni seasonal,ivyo kla mwaka narenew mkataba mpya,
  3. K

    Msaada wa kuchukua fedha zangu NSSF

    Nafanya kazi shirika fulani, lakini tatizo limekuja sehemu moja mimi na hawa NSSF, Mkataba wangu umeisha tarehe 30/2/2016, bahati mbaya niliondoka kwenda kwenda nyumban bado barua za kusimamisha kazi na barua za kuchukulia mafao yangu zilikua hazijakamilika, na kwa kuwa nilikua na haraka...
  4. K

    Msaada kuhusu mafao ya NSSF

    Habari wapendwa, kwanza polen na majukumu yenu...
Back
Top Bottom