Recent content by kabyu

  1. K

    JamiiForums Msaada chuo cha kusomea B.Math

    dah,kwa hyo inawezekana akasoma akaja kukaa mtaan bila kazi? Maana dogo anaipenda kweli.
  2. K

    JamiiForums Msaada chuo cha kusomea B.Math

    nashukuru sana mkuu,vipi kuhusiana na ajira na kazi ipi anaweza akafanya?
  3. K

    JamiiForums Msaada chuo cha kusomea B.Math

    kwa nini mkuu?
  4. K

    JamiiForums Msaada chuo cha kusomea B.Math

    nashukuru sana ndugu,kwani hakuna zaidi ya ualimu? Na je hiyo kozi inapatikana chuo gan?
  5. K

    JamiiForums Msaada chuo cha kusomea B.Math

    Samahani,mimi ni mgeni hapa. Naombeni ushauri,kuna dogo langu linafanya mchakato wa application ya chuo anapenda sana akasome Bsc. mathematics . Basi naomba kujua hiyo Bsc.mathematics iko chuo gan na ada yake kiasi gani na je akimaliza anaweza kufanya kazi gani na wapi?.je kweli anaweza...
Back
Top Bottom