Recent content by KabudiMasta

  1. KabudiMasta

    Wanaomaliza form 6 kama private candidate kuna uwezekano wa kuchaguliwa kwenda JKT

    Kwema wana JF, Nataka kujua hivi waliomaliza form 6 kama private candidate kuna uwezekano wa kuchaguliwa kwenda JKT,au wanachukua wa shule za serikali tu?
  2. KabudiMasta

    Naomba ufafanuzi kuhusu suala hili la kurisiti Mtihani

    Na ina maana cheti cha pili kitakua na masomo matano tu niliyorudia?
  3. KabudiMasta

    Naomba ufafanuzi kuhusu suala hili la kurisiti Mtihani

    Nakubali,hivyo C zangu wataweka au sio
  4. KabudiMasta

    Ufafanuzi kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Kwema wana JF, Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa...
  5. KabudiMasta

    Naomba ufafanuzi kuhusu suala hili la kurisiti Mtihani

    Duh,dua mana niliona kuna wadau wamesema wanaweka uliyorudia tu, duh nikaona kipengele
  6. KabudiMasta

    Naomba ufafanuzi kuhusu suala hili la kurisiti Mtihani

    Kwema wadau wa Jf, nauliza hivi umemaliza form four umepiga C mbili ya history na kiswahili, na D ya english na mengine F,sasa ukataka kurisiti masomo mengine matano pamoja na english uliyopata D. Matokeo yakitoka wataunganisha na zile C zangu mbili za first exam au cheti kitatokaje?
Back
Top Bottom