Recent content by Kabare12

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame

    https://www.newtimes.co.rw/article/27495/news/rwanda/kagame-receives-ex-nigerian-president-obasanjo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kazi

    Njoo inbox
  3. K

    JamiiForums Tanzania SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

    South African troops with Col.Willy Ngoma, msemaji wa M23.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mungu hayupo, angekuwepo shida na taabu zisingekuwepo

    Jitathimini kwanza, unayoyapitia wewe ndio chanzo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Burundi yatoa onyo dhidi ya shambulio lolote kutoka Rwanda

    Jenerali kafanyia mafunzo wapi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Kwani simlijalibu mkashindwa? Nani alikuwa analinda airport ya Goma, Nani alirusha makombora Rwanda, 🤔
  7. K

    JamiiForums Tanzania Imevuja: Mamia ya askari wa Rwanda wauawa huko DRC

    Vita ya mtandaoni mnaweza sana..
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    https://www.youtube.com/watch?v=jwAsH0J3S-U
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Goma imetulia hakuna mapigano, Jana raia pamoja na wanajeshi wa M23 Walikuwa wakifanya usafi mjini Goma.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

    Hao ni FARDC, angalia uniform na usikilize wanaoongea au nikutumie video ndefu yatukio ndio uamini .
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

    Aisee, wote ni body builders tall and tough
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Sio kweli ..Wahutu kutoka northern Rwanda niwarefu kuzidi hata watutsi..Wahutu kutoka Western part of Rwanda wana pua ndefu na sura nzuri hata zaidi ya watutsi . RDF ilisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja,jeshi la polisi lisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja.. Jeshi la magereza mpaka Leo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Una uhakika na unacho kiongea? Una statistics? Hivi unatofautishaje makabila ya Rwanda. Unajua jinalsi system ya uongozi wa Rwanda ilivyo. Mambo ya ukabila yameisha yaliletwa na Baba zenu lakini Kagame ameyamaliza. Utamtofautishaje mhutu na mtutsi wakati hata kwenye ID hakuna kabila imeandikwa..
Back
Top Bottom