Recent content by kabango

  1. kabango

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu wakuu nasumbuliwa na sulphur allergies

    Dawa ya meno ninayo tumia ni Colgate Sensitive PRO-Relief iyo haina kabisa sulphate...chochote chenye sulphate kwangu ni tatizo. Unaponiambia niambia maji naweza kunya yoyote niondoe hofu sikuelewi. Wakati kwenye Ingredient imeandikwa kuna sulphate 9.5 sasa hapo inaniachaje kwa mfano
  2. kabango

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu wakuu nasumbuliwa na sulphur allergies

    Natokwa na vipele vingi vikiambatana muwasho mkali...endapo nitatumia product yenye mchanganyiko wa madini ya sulphate kwenye ingredients lkn hata nikila kuku broiler mayai tunayo ita ya kizungu nateseka na hii allergy jamani maji ninywe Kilimanjaro tuu hayana sulphate lkn vitu vingi vina iyo
  3. kabango

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu wakuu nasumbuliwa na sulphur allergies

    Naomba msaada wenu wakuu mimi nina sulphur allergies nafanyaje niweze kuondokana na ili tatizo kabisa mana product nyingi madukani zina sulphate najikuta nameza dawa mara kwa mara nisaidieni hata kama kuna dawa za kienyejiza kumaliza tatizo kabisa
  4. kabango

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Mwinyi. naishi Dar es salaam sinza Natafuta kazi ya udereva wa taxi Uber Nina driving license class D 0787283582 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom